FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

45+1' Kuelekea kuwa mapumziko

Naaam mpira ni mapumziko ambapo Simba SC wapo mbele ya bao moja dhidi ya Namungo FC

HT: Simba SC 1-0 Namungo FC
 
Namungo kipindi cha pili mkitumie vizur hao mateja wanakataga moto kipindi cha pili
 
Huyu Mtangazaji Wa Azam Nafikiri ndio Mtangazaji Bora Kwa Sasa Wa Soka Tanzania.

Ana Mzidi Baraka Mpenja Mbali sanaaaaa…. kuanzia Utamshi Wa Maneno, Habari anazo Tupasha, Anavyo Pangilia Matangazo na Kila kitu. Hana storiii za Kipuuzi puuzi.

Huyu Ni Mtangazaji Bora Kwa Sasa Kwa Maoni yangu. Simjui Vizuri jina Ni Gharib Mzinga Sijui
Gharib Mzinga huyo ana data zakutosha yani anatangaza ki professional .yuko vizuri hataki sifa za kijinga
 
Kibu mechi imemkataa ningekuwa Mgunda ningefanya sub mapema kwenye dakika za mwanzo za kipindi cha pili
Tatizo wakuingia ni nani,Kiyombo nae vile vile tu afdhali yake ni kidogo sana labda amjaribu Bocco na nje hatuna winga yoyote
 
Saido Ntibazonkiza ananafasi ya kufanya vizuri sana Simba, sijui kwanini walimchukua Okwa wakaachana na Saidoo!
 
Kibu mechi imemkataa ningekuwa Mgunda ningefanya sub mapema kwenye dakika za mwanzo za kipindi cha pili
Mechi ipi iliyomkubali?? Acha kububali vitu vibovu vinavyoonekana hata na kilaza... Kibu ni mchezaji wa timu ndogo Simba ni kubwa sana kwake...
 
Saido Ntibazonkiza ananafasi ya kufanya vizuri sana Simba, sijui kwanini walimchukua Okwa wakaachana na Saidoo!
Yaani hapo ndio unapowashangaa viongozi wa vilabu vyetu.. saido ni mashine haswa ilee inakupa uhakika wa goli na assist za kutosha
 
Tanesco wana ni nyima burudani, nipo kwenye radio la la la la goal ..... kibao kumbe mpira umetoka.
 
Back
Top Bottom