FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Nani kawaruhusu hawa wauza ngada kucheza? Ilitakiwa wawe lockup sasa hivi, watoe maelezo kwanini wanauza madawa ya kulevya.

Mateja FC, Punda FC, Ngada FC, nyinyi ni wahalifu kama wahalifu wengine!
 
Huyu Mtangazaji Wa Azam Nafikiri ndio Mtangazaji Bora Kwa Sasa Wa Soka Tanzania.

Ana Mzidi Baraka Mpenja Mbali sanaaaaa…. kuanzia Utamshi Wa Maneno, Habari anazo Tupasha, Anavyo Pangilia Matangazo na Kila kitu. Hana storiii za Kipuuzi puuzi.

Huyu Ni Mtangazaji Bora Kwa Sasa Kwa Maoni yangu. Simjui Vizuri jina Ni Gharib Mzinga Sijui
 
Gharib Mzinga A.K.A Kilwa Finest.
 
31' Phiri Goooooooooooooaaal gooal

Moses Phiri anahesabu bao la kwanza akipokea pasi murua kutoka kwa Hussein | Simba SC 1-0 Namungo FC
 
Back
Top Bottom