FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Simba Tunaipenda Sanaaa, Ila Iache kucheza Taka Taka.

Na Viongozi wasijidanganye na Haya Matokeo ya NBC premier League tunakoenda ni kugumu zaidi.

Wangekuwa na akili huu muda walitakiwa na Benchi la Ufundi lilo kamilika Na Kuangalia Kupitia Hizi Mechi za NBC zinaendaje. Sio mgunda Afungwe Mechi 2 za Makundi Watuletee kocha Mpya
Wasawazishe makosa yao kwenye dirisha dogo
 
Simba Tunaipenda Sanaaa, Ila Iache kucheza Taka Taka.

Na Viongozi wasijidanganye na Haya Matokeo ya NBC premier League tunakoenda ni kugumu zaidi.

Wangekuwa na akili huu muda walitakiwa na Benchi la Ufundi lilo kamilika Na Kuangalia Kupitia Hizi Mechi za NBC zinaendaje. Sio mgunda Afungwe Mechi 2 za Makundi Watuletee kocha Mpya
Viongozi wanaoendeshwa kwa makelele. Hawafanyi jambo mpaka wapigiwe makelele.
 
02' Simba wanapata Kona ya kwanza.. Inapigwa kulee lakini wanaokoa na kuwa goal kick
Tunataka zile hamsa tuwazibe midomo wale wala mihogo
giphy.gif
 
Back
Top Bottom