FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Sasa huo mwezi mmoja waliomuamba hakuwa mfanyakazi wao..??? Na mpaka anafanya tukio, hakuwa mfanyakazi wao..??? Hili limewaganda wana ngada
Limekuganda ww mwana kinyesi kwa sbb aliekamatwa ni mmoja Simba inaendelea na mambo yao,,timu inacheza leo kama kawaida mashabiki ndo hivyo yani tuna vibeeee kama siku zote..au unataka kisembe kidogo ustue ubongo😀😀😀
 
Itakua ila si wameshamtangaza Kocha mpya tayari au na yeye apigwe sachi kabla?
Sasa mtu wamemkana, halafu unatangaza mwingine kuziba nafasi ya uliyemkana..!! Ni mbumbumbu tu anaweza akayafanya haya
 
Waliamua kuwatoa watu mchezoni ili kujitoa kwenye lawama zisizo na msingi mkuu, hio ni kadhia kwa brand ya Simba sio nationally tu hata internationally, hata ingekua ni mimi nakukana hilo bomu umelichezea vibaya basi wewe lipuka nalo mwenyewe,
Hahahahaahaha hapo sasa na litamlipukia kweli
 
Sijui mara ngapi ila zinazosemekana zilizokamatwa ni hizo, au kuna zingine?
KWani kwa ukubwa ule wa mzigo, unadhani ilikuwa ni mara ya kwanza? Yaani hapo arobaini zao tu zilikuwa zimefika..!! Kabla ya kukamilika kwa arobaini zao, kilo ngapi wamefanikiwa kupiga mihela?
 
Hahahahaahaha hapo sasa na litamlipukia kweli
Kalipuka na bomu lake la Ngada watu wamemkataa kwamba huyo sisi hatuhusu huyo acha alipuke peke yake tu, ila Ngada Fc mnajua kukana tuhuma yaan haikupita hata masaa mawili mtu ameshakanwa tayari 😂
 
Kalipuka na bomu lake la Ngada watu wamemkataa kwamba huyo sisi hatuhusu huyo acha alipuke peke yake tu, ila Ngada Fc mnajua kukana tuhuma yaan haikupita hata masaa mawili mtu ameshakanwa tayari 😂
Kuna kesi na kesi mkuu kuna kesi zingine hata shetani anakukana. Hapo Simba wamecheza tiktaka 😀 😀
 
Mkichukua ubingwa simba msimu huu NIITWE ASHURA CHEUSI
Ww tayari ni Ashura cheusi maana tushachukua kwenye akili zetu au unataka uthibitisho? 😀 😀 😀
 
Ngada FC [emoji1787]
 
Attachments

  • IMG_0339.jpg
    IMG_0339.jpg
    21.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom