FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Mimi mwenyewe naunga mkono hoja huyo pimbi aliekamatwa aadhibiwe haswaa. Ila kulihusisha na club nzima ya simba hapa tutapingana
Shida ni namna SImba walivyotoa tamko lao..!! Hawakutakiwa kumkana mwamba kwamba hakuwa na mkataba..!! Walitakiwa waseme huyo ni mwajiliwa/kibarua wetu (hata kama ni kwa mwezi tu) lakini aliyoyafanya Simba hawahusiki nayo..!! Mbona walishawahi mkana Manara aliposema kwenye mechi ya Simba waje wapenzi wa Simba pekee?? AU hata Makonda alishawahi kanwa na serikali pale serikali iliposema alichokisema Makonda si msimamo wa serikali..!!
 
Hiyo ni mupya mkuu hio ni mupya tena inatakiwa iongozwe na Sakho au Zimbwe Jr, 😂
Yani hii zimbwe ndo ataiweza na hivyo mwembamba akitoa macho yake huku anapepesuka kidogo hivii
 
Shida ni namna SImba walivyotoa tamko lao..!! Hawakutakiwa kumkana mwamba kwamba hakuwa na mkataba..!! Walitakiwa waseme huyo ni mwajiliwa/kibarua wetu (hata kama ni kwa mwezi tu) lakini aliyoyafanya Simba hawahusiki nayo..!! Mbona walishawahi mkana Manara aliposema kwenye mechi ya Simba waje wapenzi wa Simba pekee?? AU hata Makonda alishawahi kanwa na serikali pale serikali iliposema alichokisema Makonda si msimamo wa serikali..!!
Tulia tuu ndo wameshasema na wameona wako sawa na sisi tunawaunga mkono. Kesi ya dawa za kulevya najua unazijua. Hivyo ni bora kumkana kwa sbb Simba haikumtuma kufanya huo ufirauni
 
Sawa mwana ngada FC
 
Shida ni namna SImba walivyotoa tamko lao..!! Hawakutakiwa kumkana mwamba kwamba hakuwa na mkataba..!! Walitakiwa waseme huyo ni mwajiliwa/kibarua wetu (hata kama ni kwa mwezi tu) lakini aliyoyafanya Simba hawahusiki nayo..!! Mbona walishawahi mkana Manara aliposema kwenye mechi ya Simba waje wapenzi wa Simba pekee?? AU hata Makonda alishawahi kanwa na serikali pale serikali iliposema alichokisema Makonda si msimamo wa serikali..!!
Waliamua kuwatoa watu mchezoni ili kujitoa kwenye lawama zisizo na msingi mkuu, hio ni kadhia kwa brand ya Simba sio nationally tu hata internationally, hata ingekua ni mimi nakukana hilo bomu umelichezea vibaya basi wewe lipuka nalo mwenyewe,
 
Ndo wangeandika vizuri..!!! Kwa namna ya tamko lile, wamemkana mwamba hawajakana alichofanya
 
Yani ma uto yanalazimisha hyo ngada hata hainogi yani wanaweka popote ilimradi hana cha kuongea
Wote wale wale pacha wako alikuwa na goalkeeper shoga

Wewe kocha mzungu wa Unga[emoji16]
 
Ndo wangeandika vizuri..!!! Kwa namna ya tamko lile, wamemkana mwamba hawajakana alichofanya
Wakane alichofanya kwani wameshtakiwa wao?wao wamekana kwamba sio mfanyakazi wao kwa sbb wamesema kocha wa viungo wa simba....hyo kuhusu alichofanya ni yeye na waliomkamata.
 
Leo naona km Simba anaenda kudondosha point 3 anachukua km sio 1 basi atatoka mikono mitupu, msinipige mawe tafadharini sana
Ukweli mtupu kanoute hawezi cheza kwa Lucas kikoti ni aibu
 
Wakane alichofanya kwani wameshtakiwa wao?wao wamekana kwamba sio mfanyakazi wao kwa sbb wamesema kocha wa viungo wa simba....hyo kuhusu alichofanya ni yeye na waliomkamata.
Sasa huo mwezi mmoja waliomuamba hakuwa mfanyakazi wao..??? Na mpaka anafanya tukio, hakuwa mfanyakazi wao..??? Hili limewaganda wana ngada
 
Back
Top Bottom