FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Anakuja na Style tofauti baadala ya ile ya Kunyunyiza. Pape SakhoView attachment 2418542
JamiiForums2069734766.jpg
 
Unategemea ushindi wa mabao mangapi mkuu..! Kulingana na performance ya Timu kwenye mechi mbili zilizopita.

Na hasa kukosekana Clatous Chama.
Ushindi wa magoli mawili mkuu japo mechi haitakuwa rahisi.
NGUVU MOJA
 
Hii Mechi wanakutana mkubwa na mwanae, kama itakavyokuja kuchezwa Yanga na Singida UTD.

Nawatakia mchezo wa kiungwana tu maana mshindi tayari anajulikana
 
Back
Top Bottom