FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Na ww ushakua kama mla ngada siku hzi ka unga kamekufikia na wewe nini?. [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sie ngano tu chapati mm napenda team zote 3 ziwe competente ila simba ya msimu huu naumia naona kama tunaionea tu
 
Sie ngano tu chapati mm napenda team zote 3 ziwe competente ila simba ya msimu huu naumia naona kama tunaionea tu
Kwahyo hatuko competente?? 😀 😀 😀 😀
 
20221116_180210.jpg
 
Pacha ya Phiri na Kibu na Pacha ya Kyombo na Phiri.. Ipo ambayo ni bora..?!

Hapa ndo unaona umuhimu wa kufanya usajili kwenye dirisha dogo.
 
Kyombo kinachomfelisha ni presha, naamini akipewa dakika nyingi za kucheza mfululizo ataonesha kitu kikubwa zaidi.
Nahisi uongozi wa simba una mapungufu yanayoathiri wachezaji. Kama Kocha wa viungo ametangazwa jana, ina maana aliyekuwepo hakukidhi mahitaji. Inawezekana simba ina wachezaji wazuri, ila kuna mambo hayako sawa.
 
Simba Tunaipenda Sanaaa, Ila Iache kucheza Taka Taka.

Na Viongozi wasijidanganye na Haya Matokeo ya NBC premier League tunakoenda ni kugumu zaidi.

Wangekuwa na akili huu muda walitakiwa na Benchi la Ufundi lilo kamilika Na Kuangalia Kupitia Hizi Mechi za NBC zinaendaje. Sio mgunda Afungwe Mechi 2 za Makundi Watuletee kocha Mpya
 
Back
Top Bottom