FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Yani kibu kawa muhanga wa kuchezewa faulo
 
Kuna bao hapa Simba ilifunga ila limekataliwa kuwa ni offside
 
Wataka nikulilie mzee?

Hatimaye umeanza kumkataa Kibu? Kweli kila goti litapigwa.
Andika kama mwanaume sio kucheka cheka. Mtu akifanya vizuri atasifiwa akiboronga atasemwa. Hata hiyo akili ya kujua jambo dogo kama hilo huna?
 
Namungo wanapiga kona dakika ya 92

Utakuwa mpira wa mwisho kuchezwa
 
Back
Top Bottom