FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

Timu imepambana sana kupata point 10 huku injini ya timu ikiwa imefungiwa
 
Mtupe Lusajo katika dilisha dogo.
Huyo Manzoki apambane na hali yake.
Lusajo and Sixtus Sabilo ni washambuliaji wazuri sana. Ila Sixtus afya yake bado ndogo, anahitaji kufuliwa Jim kwanza msuli uwe na nguvu.
 
mechi imepoa mnooo sijui kwa sababu wote ndugu moja

hawa namungo wakisikia ni mechi na yanga wanakakamaa hatari hapa wame devera hadi sio powa.
Sorry Namungo ni timu ya mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…