Hii mechi naona Simba yangu inaenda kukalia mua wa Kagera Tena lazima uzame wote.. Hawa Kagera nawajua hawana huruma walitutoboa mbele ya Rais wa chato tena tundu la kwanza kabisa
Yanga wasingeshinda leo...roho za umauti zingewalilia sana kwa wale walio fariki katika ile ajali ya bagamoyo...,Mungu awalaze mahali pema pepon...ulikuwa mchezo muhimu sana kwa ushindi wa Yanga