FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 2-0 Kagera Sugar | Uwanja wa Mkapa | Agosti 20, 2022

Simba walichukulia poa,ngoja waone wanavyokosa pointi tatu muhimu,Yanga tunawaacha kiutaniutani tu.
 
Njooni Jamani , baada Ya Lile pira Papatu Papatu huko ARUSHA ambalo tunaomba mtuwie radhi.!

Sasa Karibuni kuuambia moyo pole kwa kile kilichotokea Arusha Kwa Pira Udambwi Udambwi.
 
Hii mechi naona Simba yangu inaenda kukalia mua wa Kagera Tena lazima uzame wote.. Hawa Kagera nawajua hawana huruma walitutoboa mbele ya Rais wa chato tena tundu la kwanza kabisa
 
Yanga wasingeshinda leo...roho za umauti zingewalilia sana kwa wale walio fariki katika ile ajali ya bagamoyo...,Mungu awalaze mahali pema pepon...ulikuwa mchezo muhimu sana kwa ushindi wa Yanga
 
Back
Top Bottom