CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Tusisikie matusi hapo baadaeKosi lipo vizuri sana leo mtu anakula mkono na kuendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusisikie matusi hapo baadaeKosi lipo vizuri sana leo mtu anakula mkono na kuendelea
Nimempa simba afunge magoli mawili odd 1.65 nimetia lakiTunaobet twende hv
Simba win
Simba win/draw
Over 1.5
Pale juu kuna kidume cha mbegu kwanini hukiheshimu?Leo tunaongoza ligi kwa mara ya kwanza baada ya kupita miezi mingi sana.
Mnaanza kutafuta sababu hahahhahaBila karia kumuagiza refa chochote kwenye game ya leo basi kolo litakufa 3
Unalionaje kosi mkuu?Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Geita GoldView attachment 2326521
Kikosi cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Geita GoldView attachment 2326521
Leo Phiri kaanza,enhee semeni kabisa nani mwengine hajaanza.Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Agosti 17, 2022, ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC, anakiwasha na Geita Gold kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.
Mchezo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90, kwa kila timu kuhitaji ushindi na hasa ukizingatia ndo mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili baada ya kufunguliwa msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023.
Kocha Zaron Maki wa Simba SC amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo wa kesho (leo) hakutakuwa mchezo rahisi, ni mechi ngumu dhidi ya timu ngumu, licha ya kupata muda mdogo wa kufanya maandalizi dhidi ya Geita, lakini anaamini atafanya vizuri.
Naye Kocha Msaidizi wa Geita Gold Mathias Wandiba amesema kuwa kwa upande wao wamejiandaa vizuri kwasababu wamepata muda wa kutosha kwa kujua wanacheza mechi ngumu dhidi Simba, kwahivyo wapo tayari kwa ajili ya kupata ushindi.
Nani kuibuka na ushindi wa mabao ya kutosha kwenye mtanange huu wa kwanza kwa timu zote mbili Ligi Kuu Tanzania Bara?
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 12: 15 Usiku.. Usikose Ukapata Simulizi
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
ivi unaweza ukabeti kwa mechi mojaTunaobet twende hv
Simba win
Simba win/draw
Over 1.5
Huyo kocha ni bwege hamtaki AkpanHapo kwa mtazamo wangu, Dejan Georgijevic angeanza, badala ya Banda.
Halafu sijajua hata Akpan hayupo kwenye benchi. Ngoja Tusubiri Kuona.