FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-0 Geita Gold | Uwanja wa Benjamin Mkapa | Agosti 17, 2022

Mods ni mashabiki wa Uto
Wamwchage fasta fasta kumbe walikuwa wanasubiria yaongezeke yawe mengi

Saizi tukifunga la 4 hawata update wanaona usumbufu watasubiria lile la 5 ndio wabadili scoreboard
 
Tunaona juhudi binafsi ya wachezaji ila kocha anatia mashaka.
 
Hivi kwann mashabiki wa Simba kwann hampeleki hizi habari kwenye Uzi wa Simba (Simba SC Special Thread!??!!?) Au hamuoni umuhimu wake?!?!!!
 
Back
Top Bottom