Butwaa
Senior Member
- Aug 13, 2022
- 125
- 148
Haya sawa...Ndio, labda Azam afanye yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sawa...Ndio, labda Azam afanye yake
Mods ni mashabiki wa UtoModerator kwenye scoreboard hapo ni 3 sio 1
Hii ya mchongo alooo. Rose Mhando kabisa hii😊😊😊😊😊Penalty Kama ya moloko tu jana
Alishafunga hata kama sio katika wakati sahihi inatosha sanaBado moja la mzungu
Unamaanisha nini kwamba amekita miziziKwenye Kikosi cha Simba SC Mkude amekita mizizi kwenye Namba sita..!
Wamwchage fasta fasta kumbe walikuwa wanasubiria yaongezeke yawe mengiMods ni mashabiki wa Uto
Umefurahia eeee.Asante sana tena sio goli dogo ni goli la uhakikaaa
Kashaingia mda tuMzungu aingie,asafishe nyota
Usitupangie mzeeHivi kwann mashabiki wa Simba kwann hampeleki hizi habari kwenye Uzi wa Simba (Simba SC Special Thread!??!!?) Au hamuoni umuhimu wake?!?!!!