Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
mzungu akae kwanza pembeni anatucheleweshaMzungu apangwe dk 90 tuone kama ni utopolo aachwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mzungu akae kwanza pembeni anatucheleweshaMzungu apangwe dk 90 tuone kama ni utopolo aachwe.
Mbona hamjafunga nane?Sasa nyie mlocheza na Polisi jana si mngefunga 8 bila?.sasa kitimu cha polisi unafananisha na geita.
Tatizo hakuna watoa pasi nzuriMzungu apangwe dk 90 tuone kama ni utopolo aachwe.
Cha muhimu point 3 mwisho wa msimu tusisikie "GSM kahonga".kwa ile mechi yenu ya jana inatakiwa muwe mnacheza saa mbili asubuhi.
Watakwambia uwanja uliwaangushaSasa nyie mlocheza na Polisi jana si mngefunga 8 bila?.sasa kitimu cha polisi unafananisha na geita.
Hata haitupi shida sasa nyie endeleeni kumzodoa as if anacheza timu nzima peke ake. Kumbe kuna mashine za hatari wakati utopolo wanamshangaa mzungu okra anatia kitu. HahahahahaMzungu PORIIIIIIIII
kusema cha msingi mechi points 3 ndo kauli za kuhonga zenyeweCha muhimu point 3 mwisho wa msimu tusisikie "GSM kahonga".
Hapo sasa maneno mengiii hata kama wa kiretain mataji yao chamoto watakiona hakuna cha cleen sheet wala nini watafungwa sana msimu huuuWatakwambia uwanja uliwaangusha
SaaanaMimi kama Simba, sifurahishwi na style ya kucheza ya mipira mingi sana ya nyuma na flat passes.
Inatia hasira sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Kikosi hiko ndio kicheze na YANGA?? HAMNA AKILI
Kidume cha mbegu kipo juu sasa.Pale juu kuna kidume cha mbegu kwanini hukiheshimu?
Sasa mbona kama unazungusha mada..ww umesema timu ndogo haya ndogo tumefunga tatu nyie polisi ilokua inashuka daraja na nyie timu kubwa mbona hamjafunga 8?.Mbona hamjafunga nane?
kwani imekuwa mizani?
Kwani kocha ana mda gani mkuu bado sana naona anatafuta first eleven ila yule striker mzungu tumepigwa....SIMBA WAMECHEZA KAWAIDA SAAAAA ,HAWASISIMUI WALA HAWASHTUI....ZORAN ANAKAZI KUBWA SANA BADO.......WAMESHINDA KWASABABU YA UDHAIFU WA GEITA ILA SIO KWASABABU WAO NI BORA SANA NO!#Okraaa Mtu Na Nusu[emoji1544]Chama Tushamsifia Sana
[emoji3581][emoji3581][emoji3581][emoji3581]Tunaobet twende hv
Simba win
Simba win/draw
Over 1.5
Kiukweli sipendi kuona shabiki wa Simba akiwa na furaha