Inasaidia ushindi hii.
Kama kufanya ma2cSimba tamu kama maini
Topolokwinyo hilo...Utakua na vtu vako personal
Mashabiki wa simba tupunguzege mdomo,Thank u robertinho
Au sioHata Simba ishinde leo..kocha kakosea tu
Kama kufanya ma2cSimba tamu kama maini
KinguonguoKama kufanya ma2c
Hata tukijumlisha magoli yake ya misimu miwili, hatakaa amguse huyo unayemzungumzia.Mechi 2 goli 5.. .. mtingisha matiti atakuwa amepanic
Kinyago cha mpapureBado muda kadhaa tushuhudie soka safi la Pira Dubai kutoka kwa Mnyama Mkali Mwituni [emoji881] Mkuu Mshana Jr View attachment 2486350
Lazima [emoji23]Kocha kashangilia kuliko hata Sakho aliyefunga
[emoji1][emoji1][emoji1]hiyo penati angepewa yanga ungesikia vurugu zake
Tunaendeshwa na mihemko sanaKama kawaida ya mpira
Mashabiki utafikiri sio sisi tuliokuwa tume maindi sub ya Chama
Hapo ndio unajua benchi kuna mtu anatumia akili [emoji2]Man of the match ni Kocha [emoji28][emoji28]
Punguza wasiwasiChangamoto Benchi Unabaki Na Nani? Kipindi Cha Pili Tukiharibu Nani Ata Correct Toka Kwenye Benchi?
Dah [emoji848][emoji848]Kocha mbwa. Tunapigwa hii game shenzi.
Tumerudi kupongeza Mkuu kama ulikuwepoWabongo tuna midomo mirefu sana,hatuna uvumilivu kabisa[emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
Simba ikishinda wale wale wanaomponda kocha wataanza kuleta pongez za kinafk.
Binafsi nampa kocha 3 more games,as for now imma just be the observer.