FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Nabi alikuwa anatuzidi akili hasa kipindi cha pili, kipindi cha kwanza tunacheza sisi jamaa akitusoma akienda HT anafanya changes kimbinu, kipindi cha pili kikianza moto unahamia kwetu..

Mgunda anabaki kushangaa tu..

Mechi nyingi tumepigwa na uto kipindi cha pili, hasa ile ya Ngao ya Jamii Mayele.. kwa huyu kocha sasa kazi wanayo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…