FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Kibudenga wa Dubenga namna gani pale.

Tokea kadi itoke dk 60+ hamna on target wala off target kwa makolo.

Naona Nyoni anaenda kukaba.
 
90+4' Kyombo anakwenda nje na nafasi yake anachukua Nyoni
 
Yaani Simba leo inacheza mpira wa kupoteza muda ndani ya Mkapa?? Huu ni upumbavu wa hali ya juu kabisa. Halafu strategy ya kupoteza muda haijawahi kuwa na faida.
 
Kikubwa tumeshinda kwa binde..mpira tuliouzoea hakuna kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…