OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mimi ningekuwa kocha mtu kama Kibu namwambia wewe sio mchezaji tafuta kazi nyingine kwenye timu yangu huchezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Hii ni impact ya Chama na Kyombo. Kyombo alipaswa kutoka mapema kabisa. Kocha asijidanganye kibu na Kyombo hawafundishiki cause shida zao zipo kichwani.
Red card Mbeya City ila upungufu unaona Simba.ivi simba ndo wako pungufu au mbeya city?
[emoji1787][emoji1787]Mimi ningekuwa kocha mtu kama Kibu namwambia wewe sio mchezaji tafuta kazi nyingine kwenye timu yangu huchezi
[emoji28][emoji28][emoji28] CAF sio CUFCuf ya lipumba
Kukaba na kutuliza timu.Kibudenga wa Dubenga namna gani pale.
Tokea kadi itoke dk 60+ hamna on target wala off target kwa makolo.
Naona Nyoni anaenda kukaba.
Mnatuliza timu kwa timu ambayo ipo pungufu.
Ha ha ha ni utabiri, unakubalika.3 - 3
1-1
Timu imechoka kila mtu yupo nje ya mchezo hadi kipa.Mnatuliza timu kwa timu ambayo ipo pungufu.
Unaomba mpira uishe mzee baba.Game iishe tu kwa sasa...