FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Hakuna disrespect hapo, hata Chama iko siku nae atacheza mechi nyingi kumzidi Kibu..

Tatizo lenu mnaichukulia game ya leo kama ndio ilikuwa fainali..

Chama sio mungu wa Simba, Simba ilikuwepo kabla ya Chama, na itaendelea kuwepo hata baada ya Chama...
 
Hiyo timu inayoongoza ligi ndo naionea wivu sana maana ina miezi zaidi ya 3 haijashuka hata kidogo
Kwa hiyo goal difference hapo, ndio maana mnaongoza ligi huku mnatetemeka balaa..
 
Kocha kama anataka kubaki afanye kila analoweza aingie kwenye mfumo wa Chama.
 
Reactions: BRN
Mpira una amuliwa kwa ubora, yule mwenye kiwango ndiye mwenye nafasi kubwa ya kucheza muda mrefu ndani ya kiwanja

Mpira sio draft watu waingie tu kwasababu ya zamu

Hatukatai Chama kutoka, ishu ni anatoka ili aingie nani? na kwa muda gani? huku timu ikiwa katika wakati gani?

Unamtoa Chama ambaye ndio key player na muda mfupi katoka ku assist afu unamuweka Kibu?
 
Kuna watu hawatakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…