FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

[emoji23][emoji23]nikikumbuka comments zako kule kwenye uzi wa Mayele Vs Kibu na haya maelezo yako nakuona mwanasiasa flani hivi
 
Scars

Najibu comment yako # 743.

Muhimu zaidi umekiri wewe ni mbishi.

Unaposema nafurahia ushindi wa Simba kwa sababu ya kuchangiwa na Chama unakosea...

Unazidi kuthibitisha ulivyo mbishi, kumbuka Simba ilipata magoli mawili kipindi cha pili bila ya uwepo wa Chama..

Jamaa unampenda Chama wako mpaka unapoteza kumbukumbu!.

Halafu mimi sijafurahia popote Mayele kutegemewa na uto, unaonekana hunielewi ninachoandika.

Nimeonesha vile Yanga wanavyomtegemea Mayele matokeo yake kila siku wanashinda 1-0, huku sio kufurahia, wewe ndio unampenda Mayele kwa tabia yako ya kutukuza individual, wangetengeneza timu vizuri bila kumtegemea individual kuna uwezekano wangepata magoli mengi.
 
Hapa Mkuu hukufurahishwa na swala la Mgunda kuchelewa kumfanyia sub Kibu kwa poor perfomance aliyokuwa nayo

View attachment 2488761
Naona unachofanya sasa ni kuhangaika tu, Yes amtoe, kwangu hakuna mchezaji asiyefanyiwa sub, na hata kama Kibu angekuwa anafunga kila siku, bado nisingemtukuza kama unavyofanya wewe kwa Chama...

Mimi ni muumini wa team work, kocha atengeneze chemistry, grow up your mind!
 
Nilisema Kibu hana kiwango wakati wa Mgunda, tumeona makocha wanakuza viwango vya wachezaji [kama unaujua mpira kweli utakuwa shahidi wa hili] kaja kocha mpya ameonesha kumuelewa Kibu, ndio maana huko Dubai alimpa zawadi, apewe muda chini ya kocha mpya tumuone..

Mgunda alikuwa static, ndio maana kila kitu Simba kikabaki static Simba, late sub, kuchelewa kuusoma mchezo....
 
Simba kupata magoli mawili baada ya Chama kutoka ni jambo jingine na Simba kupata magoli mawili kutokana na impact ya sub ya Kibu ni jambo jingine

Kibu alikosa nafasi mbili za wazi ambapo angetufanya tutoke na ushindi wa bao 5 lakini haikuwa hivyo.

Kingine mchezaji anapata nafasi ya kucheza muda mwingi ni kutokana na Quality yake uwanjani

Ukisema Yanga wamekuwa wakipata matokeo ya 1-0 kwasababu ya kumtegemea Mayele, hapo utakuwa unakosea.

Kulikuwa na Makambo ambaye alikuwa anacheza nafasi sawa na Mayele, impact yake ilikuwaje pale alipokuwa anapata nafasi?

Na kwenye mpira huwezi kuwa rate wachezaji bila kuangalia individual Quality. Uwezo wa mchezaji mmoja mmoja ndio factor inayotumika hadi masokoni kutafuta wachezaji wazuri wa kuwasajili.
 
Mi nakuona kama sigara kali mtu ambaye husimamii maamuzi ya kitu kimoja

Kuna kila dalili za kuja kujipinga tena huko mbeleni kwenye haya haya maneno yako ambayo unayasema leo.

Mimi sikatai Chama kutoka sub, na hili nalirudia tena hapa maana naona kama huelewi.

Unamtoa Chama ili umeweke nani? katika wakati gani? na kwa wakati huo Chama ameonesha kiwango gani? Na anayembadili ana kiwango gani?

Hayo ndio maswali uliyoshindwa kuyajibu ili uelewe hoja yangu.

Team work kwa mchezaji anaye felisha mipango ya team mates wenzake?

Wenzako wanaangaika kutoka na mpira chini wamefika eneo la juu la mwisho wanakupa ufunge we unapaisha? Kuna team work hapo?
 
Kwa hiyo saizi kwa Robertinho Kibu ana kiwango?

Kibu wa Mgunda na Kibu wa Robertinho wanatofautiana ninj?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…