ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
[emoji23][emoji23]nikikumbuka comments zako kule kwenye uzi wa Mayele Vs Kibu na haya maelezo yako nakuona mwanasiasa flani hiviIshu ya ubishi ni kweli mi ni mbishi tena sana tu hata mtaani niko hivyo, nimejaribu kuishi nje ya mfumo huo nimejikuta nashindwa.
Ebu tuondoke eneo hilo
Mkuu unanipa mashaka kama hizi hoja unazoziweka hapa zinatoka kwa mtu anayeujua mpira
Foolish attempt haiwezi kusawazishwa kwa kuangalia matokeo ya ujumla, foolish attempt inapimwa kwa kuangalia impact ya sub ilivyoingia ilifanya kitu gani kuinufaisha timu?
Kwasababu huo ushindi unaousema umechangiwa na huyo huyo unayefurahia kutolewa, na huyo mchezaji wako Kibu baada ya kuingia alifanya kitu gani cha maana kuisaidia timu i-maintain ushindi au kuiongezea mabao?
Zaidi tunaona ni muendelezo ule uoe ambao tumekuwa tukimuona akicheza hovyo na kuzidi kutuweka kwenye high risk kiasi tutamani mechi iishe ilihali wapinzani wapo outnumber.
Sasa Mkuu kupitia mfano wako wa Mayele hujaona kama unajitukana mwenyewe hapo?
Saizi unaonekana kufurahia Mayele kuendelea kucheza kwasababu yeye ndio mfungaji na ana machango mkubwa ndani ya timu
Wakati huo kwa Chama jambo kama hilo umeliita kuwa ni biashara kichaa
Tukuelewe vipi mzee?
Mpira hautakiwi kumtegemea mtu mmoja lakini ni jambo linalofahamika kuwa mchezaji bora mwenye kiwango bora ndiye mwenye nafasi kubwa ya kucheza muda mwingi kiwanjani kutokana na impact yake.
Kusema namba lazima ziendane na ushirikiano hili ni jambo ambalo wewe mwenyewe unatakiwa kutafakari kabla hujaandika. Kibu tangu ameanza kucheza ni lini uliona ananyimwa ushirikiano kiasi kwamba iwe ndio sababu ya yeye kuwa kwenye kiwango hiki kisicho ridhisha?
Kibu game ya Singida alikosa magoli zaidi ya matatu, zote ni pasi alizokuwa anapewa kupitia ushirikiano na timu mates wenzake
Sasa huo ushirikiano ambao hata mtu akipewa hawezi kuutumia, kuna haja gani ya kuendelea kumtoa mchezaji ambaye ana take advantage kwenye team work na kumuweka mchezaji goi goi ambaye anaigharimu timu?
Sasa mzee mbona unanichanganya??
Chama kukosa mechi tatu ni uzembe wa nani?
Mbona kama una generalize wakati inafahamika tatizo ni nani?
Uliangalia hizo mechi uzembe ulikuwa kwenye nafasi aliyokosekana Chama?
Huo ni uzembe wa mtu mmoja ambaye leo unamtetea ambaue ni Kibu aliyekuwa anakosa magoli ya wazi.