Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kuna haja Kocha ya kumtoa Mzamiru kama itafaa kumuepusha na red card.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaKwa mpira anaocheza kibu denis mpaka sasa, hiyo zawadi alipewa zawadi ya kazi gani?
namwonaga kama vile utoto kunamambo alikosa kwenye mloKibu hatakuja kuwa mchezaji mzuri never cause hana maamuzi ya haraka yenye akili
Inaweza kuwa hamsa75' Mchezo unaendelea huku kila timu ikijaribu kutafuta mabao zaidi
SIMBA SC 3-1 MBEYA CITY
Red tayari, shusheni magoli.Inaweza kuwa hamsa
Sijakuelewa mkuuMkuu ulikua wap hubadili Avatar before matokeo.
[emoji3064][emoji35]78' [emoji460]Goooooooooooooaaal gooal, City wanaweka bao la pili
Simba SC 3-2 Mbeya City
Good challenge78' [emoji460]Goooooooooooooaaal gooal, City wanaweka bao la pili
Simba SC 3-2 Mbeya City