FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Camera za Azam zimemnasa Mgunda akimuita Saido na kumuambia "wako pungufu mbona mnawaacha wanacheza"

Hiyo imenikumbusha tukio la Mecky Maxime alivyomuita mchezaji wake na kumuambia "kuwa serious unataka hela au hautaki"
 
78' [emoji460]Goooooooooooooaaal gooal, City wanaweka bao la pili, kupitia kwa Juma Shemvuni

Simba SC 3-2 Mbeya City
 
Kuna uchovu fulani wachezaji wanao. Bado timu haichezi kitimu kama inavyotakiwa, ubora wa mchezaji mmoja mmoja ndo unaonekana.
 
Back
Top Bottom