FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 3-2 Mbeya City | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 18/01/2023

Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.

Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
MTAZAMO, denooJ huenda leo wengi wakashangaa kwa mitazamo yenu.

Naunga mkono hoja, tumeajiri Kocha Oliveira tukiwa na imani anaweza kuleta matokeo chanya..Wacha afanye Kazi.
 
Kapu la magoli limewasaidiaje katika kupunguza gap la point 6?
Kapu la magoli hutaki jinyonge...am out
Kila mtu afurahie ushindi wake ww kama unaona nafasi ya pili inakukera shuka hapo tukae wenye magoli yetu..
 
Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.

Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kubadilisha mpira kimbinu ni pamoja na kumtoa mchezaji sahhi na kuingiza mchezaji sahihi. Kosa kubwa kwenye mpira wa miguu ni kufanya sub ya ovyo. Narudia tena Sub ya ovyo kwenye mpira ni kos kubwa sana kuiko hata ku switch mfumo.
 
1674071663963.png

----------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------
----------------------------------------------------------

1674071738512.png
 
Manula tumemsema na si mara ya kwanza, hii ni mara ya pili tena mfululizo

Kama uliona mechi ya mwisho tuliyocheza na Prison alifanya uzembe kama huu na kusababisha tuadhibiwe

Mtu kama Kibu kucheza dakika nyingi kumzidi Chama hiyo ni disrespectful to the fullest
Na mwaka huu mtapigwa sana,na mpigwe tu hakuna namna
 
Manula tumemsema na si mara ya kwanza, hii ni mara ya pili tena mfululizo

Kama uliona mechi ya mwisho tuliyocheza na Prison alifanya uzembe kama huu na kusababisha tuadhibiwe

Mtu kama Kibu kucheza dakika nyingi kumzidi Chama hiyo ni disrespectful to the fullest
Manula kafanya kosa linalofanana katika mechi mbili mfululizo na kocha wake yupo kwenye benchi anakenua meno tu.
 
Kocha aungalie tena huu mchezo akiwa ametulia. Kuna makosa ya kiukocha yamefanywa ya waziwazi. Kibu na Kyombo si wachezaji kabisa. Ni wahuni flani wa manzese tu.
Sio hao tu kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa wasiongezewe mikataba

Mkude
Bocco
Nyoni
Hussein
Manura
Kibu
Banda
Okra
Chama
Kyombo

Hao mikataba ikiisha watuache
 
Mpira una amuliwa kwa ubora, yule mwenye kiwango ndiye mwenye nafasi kubwa ya kucheza muda mrefu ndani ya kiwanja

Mpira sio draft watu waingie tu kwasababu ya zamu

Hatukatai Chama kutoka, ishu ni anatoka ili aingie nani? na kwa muda gani? huku timu ikiwa katika wakati gani?

Unamtoa Chama ambaye ndio key player na muda mfupi katoka ku assist afu unamuweka Kibu?
Chama key player kwa mtazamo wako, kwangu team work na chemistry ndio key player, sitaki kumtegemea individual kama malaika, mechi ngapi tumefungwa na draw huyo Chama akiwepo?

Chemistry ya timu ndio inamfanya hata mchezaji unayemuona mbaya awe mzuri, ikiwepo chemistry hapatakuwepo na haja ya kumsujudia Chama, sio siku akiumia tuanze kulia kisa Chama hayupo..

Amkeni kwenye huu usingizi mzito mliolala.
 
Japo kufungwa ni sehemu ya mchezo ila jaribu kufanya analysis katika hizo mechi tulizo poteza au ku draw utaona makosa yalikuwa kwa huyo huyo Kibu kwa kukosa mabao ya wazi

Ni mara ngapi Kibu anakosa mabao ya wazi katika mechi ambayo timu ipo kwenye Chemistry na high intensity?
 
Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Piga hayo Madunduka FC
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee Utopolooooooo.
Una hali gan bidada?
[emoji881][emoji881][emoji881] on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Back
Top Bottom