Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
El mismo amigo.Ok bien
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
El mismo amigo.Ok bien
Lala y zapatos 😁😁No me gusta tu equipo, y me voy a dormir ahora 👋👋👋👋
Sema haki ya Mungu...!!Hiyo siyo timu, mashetani wekundu tu sijui waganga wa mashetani.
Timu ina minguo rangi nyekundu!!!
MTAZAMO, denooJ huenda leo wengi wakashangaa kwa mitazamo yenu.Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.
Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hayo mambo madogo madogo ndo sisi hamtotupata mpaka ligi inamalizikaNi mambo madogo madogo tuu yametokea..inaitwa game of chance
Kapu la magoliHayo mambo madogo madogo ndo sisi hamtotupata mpaka ligi inamalizika
Ameingizwa kwasababu anajituma kuliko Chama 😀Huyu Rasta mvuta bangi hajui kucheza mpira kabisa
Sijawahi kuona mchezaji wa hovyo kuwahi kuchezea Simba
Kapu la magoli limewasaidiaje katika kupunguza gap la point 6?Kapu la magoli
Ucku mwema uto
Kapu la magoli hutaki jinyonge...am outKapu la magoli limewasaidiaje katika kupunguza gap la point 6?
Kubadilisha mpira kimbinu ni pamoja na kumtoa mchezaji sahhi na kuingiza mchezaji sahihi. Kosa kubwa kwenye mpira wa miguu ni kufanya sub ya ovyo. Narudia tena Sub ya ovyo kwenye mpira ni kos kubwa sana kuiko hata ku switch mfumo.Kocha ame change kwa kuvunja double striker na kutumia mawinga. Hata game ya Yanga vs Simba tuliikamata Yanga kipindi cha kwanza Nabi akaingiza mawinga wawili tukapoteana. Mimi Yanga siogopi mchezaji yeyote namuogopa Nabi kimbinu.
Sasa naona Nabi kapata mtu wa kumchallenge kimbinu. Ingekuwa kocha mwingine tungesubiri hadi Chama afanye miujiza lakini huoni mabadiliko kimbinu.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Na mwaka huu mtapigwa sana,na mpigwe tu hakuna namnaManula tumemsema na si mara ya kwanza, hii ni mara ya pili tena mfululizo
Kama uliona mechi ya mwisho tuliyocheza na Prison alifanya uzembe kama huu na kusababisha tuadhibiwe
Mtu kama Kibu kucheza dakika nyingi kumzidi Chama hiyo ni disrespectful to the fullest
Manula kafanya kosa linalofanana katika mechi mbili mfululizo na kocha wake yupo kwenye benchi anakenua meno tu.Manula tumemsema na si mara ya kwanza, hii ni mara ya pili tena mfululizo
Kama uliona mechi ya mwisho tuliyocheza na Prison alifanya uzembe kama huu na kusababisha tuadhibiwe
Mtu kama Kibu kucheza dakika nyingi kumzidi Chama hiyo ni disrespectful to the fullest
Sio hao tu kuna wachezaji wengi ambao wanatakiwa wasiongezewe mikatabaKocha aungalie tena huu mchezo akiwa ametulia. Kuna makosa ya kiukocha yamefanywa ya waziwazi. Kibu na Kyombo si wachezaji kabisa. Ni wahuni flani wa manzese tu.
Chama key player kwa mtazamo wako, kwangu team work na chemistry ndio key player, sitaki kumtegemea individual kama malaika, mechi ngapi tumefungwa na draw huyo Chama akiwepo?Mpira una amuliwa kwa ubora, yule mwenye kiwango ndiye mwenye nafasi kubwa ya kucheza muda mrefu ndani ya kiwanja
Mpira sio draft watu waingie tu kwasababu ya zamu
Hatukatai Chama kutoka, ishu ni anatoka ili aingie nani? na kwa muda gani? huku timu ikiwa katika wakati gani?
Unamtoa Chama ambaye ndio key player na muda mfupi katoka ku assist afu unamuweka Kibu?
Kweli haeleweki, bado amefungwa na mawazo ya individual akidhani mpira ni mchezo wa mtu mmoja, na sio timu, amkeni nyie.Kuna watu hawatakuelewa.
Mbeya City last match matokeo yalikuwaje?Zile goli Saba,tano ndio droo kwa wewe?
Japo kufungwa ni sehemu ya mchezo ila jaribu kufanya analysis katika hizo mechi tulizo poteza au ku draw utaona makosa yalikuwa kwa huyo huyo Kibu kwa kukosa mabao ya waziChama key player kwa mtazamo wako, kwangu team work na chemistry ndio key player, sitaki kumtegemea individual kama malaika, mechi ngapi tumefungwa na draw huyo Chama akiwepo?
Chemistry ya timu ndio inamfanya hata mchezaji unayemuona mbaya awe mzuri, ikiwepo chemistry hapatakuwepo na haja ya kumsujudia Chama, sio siku akiumia tuanze kulia kisa Chama hayupo..
Amkeni kwenye huu usingizi mzito mliolala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee Utopolooooooo.Seat ya kwanza dirishani...
All the best Green City
Mbeya City huwa hamtuangushi [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
Piga hayo Madunduka FC
Shougaaaaaaa anguuu poleeee kwa kushangazwaaaaa!![emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji56]