FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Nakijua vizuri sana kipaji chake, atampunguzia Chama mzigo mkubwa mabegani.
Sana chama anacheza kwa kurelax watu hawaelewi sasa wamkabe chama au saidoo hapo hapo wanamsahau sakho[emoji1][emoji1]
 
66' Abraham anapiga shutii lakini golikipa Manula anacheza na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…