Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipigo cha mbwa mwizi..😂😂63' [emoji460] Ntibanzokiza Goooooooooooooaaal gooal
Ntibanzokiza anaweka kambani bao la Tano
Wametumwa na WananchiHawa jamaa leo wanacheza kihuni sana, wapigwe umeme tu hakuna mchezo wa hivyo.
Sana chama anacheza kwa kurelax watu hawaelewi sasa wamkabe chama au saidoo hapo hapo wanamsahau sakho[emoji1][emoji1]Nakijua vizuri sana kipaji chake, atampunguzia Chama mzigo mkubwa mabegani.
Kwani sisi ndio tulimtuma acheze ujingaYaani mwamuzi akitoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu pinzani ndiyo mnapata ahueni!
Raha ni yote wana Lunyasi wapo kazini dadekiNimeanza kuona
Washakula hamsa huko bora hiyo hela angebetia tuWametumwa na Wananchi
Pambaneni na AzamUtopolo leteni barua tuwauzie Saido
Haaaaaaaa haaaaa
Saido yupo vzr, sijui kwa nn yanga walimuacha.Waliokuwa wanamashaka na Saido niliwaambia huyu ni mtu hatari nadhani sazi tumeanza kuelewana
Mgodini Geita anachimba madiniSaido alikuwa wapi huyu ndugu