FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Saido yupo vzr, sijui kwa nn yanga walimuacha.
Yanga kulikuwa kuna huyu Feisal, Farid Mussa na Saido

Hawa watu nilikuwa nawakubali sana

Yanga kumuacha Saido nilifurahi sana kwa maana walikuwa wanatuweka kwenye wakati mgumu siku ambayo tukikutana

Leo yupo Msimbazi na anazidi kuwa prove wrong critics waliombeza kwa kigezo cha umri

Hattrick na Assist sio jambo la kitoto
 
Siku zote Penzi jipya hua ni tamu weka akiba ya maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…