Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
KwikwikwikwiNiliforce kujificha kule, kumbe chaka langu ndio hapa ….. (Nimemsikia Saido Akiimba) hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KwikwikwikwiNiliforce kujificha kule, kumbe chaka langu ndio hapa ….. (Nimemsikia Saido Akiimba) hapa
Nina wasiwasi ukiendelea kubaki huku utaanza kulia, kwani umejiandaaje kuzuia machozi ndugu[emoji848][emoji848][emoji848]Ukweli mchungu kabisa huu. Mpaka muda huu ubao wa matokeo ungekuwa unasoma 1-1! Ahueni red car imeleta furaha kwa ndugu zetu.
Una maoni gani?Ngoja nimuone Saido leo
Mkuu upo hapo?
NASISITIZA.Kuanzia sasa Saido ana miaka 25 tu
Yanga kulikuwa kuna huyu Feisal, Farid Mussa na SaidoSaido yupo vzr, sijui kwa nn yanga walimuacha.
BwahahahahaKuanzia sasa Saido ana miaka 25 tu
Mimi Yanga ila Saido 1 sawa na Aziz K 13Ukweli mchungu kabisa huu. Mpaka muda huu ubao wa matokeo ungekuwa unasoma 1-1! Ahueni red car imeleta furaha kwa ndugu zetu.
Wametembeza bahasha hii mechi kwa refa alafu sharti wakampa refa kuwa atoe kadi nyekundu ili washinde goli nyingi tusione palipovuja🤣🤣Ukweli mchungu kabisa huu. Mpaka muda huu ubao wa matokeo ungekuwa unasoma 1-1! Ahueni red car imeleta furaha kwa ndugu zetu.
We're mbona unaanza kumzeesha sasa? Huyo dogo ni 22😆😆Kuanzia sasa Saido ana miaka 25 tu
Siku zote Penzi jipya hua ni tamu weka akiba ya manenoYanga kulikuwa kuna huyu Feisal, Farid Mussa na Saido
Hawa watu nilikuwa nawakubali sana
Yanga kumuacha Saido nilifurahi sana kwa maana walikuwa wanatuweka kwenye wakati mgumu siku ambayo tukikutana
Leo yupo Msimbazi na anazidi kuwa prove wrong critics waliombeza kwa kigezo cha umri
Hattrick na Assist sio jambo la kitoto
KwikwikwikwiMimi Yanga ila Saido 1 sawa na Aziz K 13
Wapuuzi hawa wanachezea mpira badala ya kuwafunga mengiKifurushi cha wiki kitawatosha wajela jela haaaaa
Kwa hiyo fundi wa kucheza faulo akichezewa faulo inakuwa sio faulo? Hakika ni utopolo.Huo muda wa kuangalia naupata wapi? Nimesoma tu hapa jukwaani, na kugundua kumbe mwamuzi ametoa kadi nyekundu kwa sababu fundi wa kucheza hizo faulo hatarishi, na yeye amechezewa.
Yap nilikoseaSaidoo hajatoka