FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Mpaka right back anafunga hivi huyo aliyeweka rehani 30M kwa vitu ambavyo vinafanywa na magwiji hapa uwanjani kwanini asiitoe kwa Simba tu?

Japo ni ndogo ila kwa fair play inatosha
 
90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…