Ila zinaumaaa yani mnatoka jashoo wanaume mnaambulia bao 2....hahahahHongereni kwa ushindi,ila hutasikia shabiki wa Yanga anazungumzia bahasha ila mngekuwa nyinyi sasa mngeongea mpaka njaa ziwaume.
NB.Hata mshinde 10 mtaendelea kupambana na Azam nafasi ya 2
Tunachowaomba tu muwatulize wale wazee wa Yanga
Huko baadaye hatutaki kuwasikia wakitishia kuandamana kwa Mama
No comment...Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.
Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.
Huku juu kuna upepo sana endelea kutuzoomTupo tunawazooom tuuu hahhah
Futa kwanza chozi halafu urudie kuangalia Prisons walivyoteseka.Ntakutumia msimamo.πππLeta msimamo wa ligi kwanza
Sasa utalia mpaka saa ngapi?Goli nyingi alafu hazikupeleki on top of the table...pita huku
Sisi furaha yetu kwa sasa iko kwenye ubingwa tu. Kushinda tumeshazoea.Ubingwa hata ukikosekana hauzuii kuburudika. Ikitokea mechi ya mwisho ikawa simba na yanga, yanga mkafungwa za kutosha na ubingwa mkaubeba unadhani mtapata burudani pamoja na kuubeba ubingwa?
Wanaumia balaaa na mbaya zaidi magoli 3 ya yule waliomuuuzaa sijui alimaliza mkatabaHakuna kitu kizuri kama kumuona Utopolo akicomment huku kajawa makasiriko kiasi hiki.Huwa inanipa furaha na amani tele.
Mtoto anazaliwa na Bao Moja tu......Ila zinaumaaa yani mnatoka jashoo wanaume mnaambulia bao 2....hahahah
Mpo sawa, Ni kawaida kufurahia kile usichokizoea.Sisi furaha yetu kwa sasa iko kwenye ubingwa tu. Kushinda tumeshazoea.
Wanacomment huku wanatamani kurusha ngumi kwenye simu zao.Leo ngoja wateseke tu hakuna namna.Wanaumia balaaa na mbaya zaidi magoli 3 ya yule waliomuuuzaa sijui alimaliza mkataba
Hizi dakika 90 za leo zimekutesa sana uto, vipi au nawe uliahidiwa buku jero Prison akishinda?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Burudani ya muda ina faida gani kwenu! Maana mwisho wa siku bingwa anajulikana.
Huwa mnasema wenyewe kila anapokosa Magoli, mojawapo ukiwa weweLeo hTrick ya pili kwa mnyama na yule yule kaputeiniii fantastic waliesema ni mzee
Hii ilikuwa wiki ya sheria kila mwana Yanga alikuwa na taaluma ya kujua Feisal kakiuka sheriaNiletee msimamo wa ligi baada ya mechi ya leo
Jipeni moyo ilo moja ni probability kama lina uboraMtoto anazaliwa na Bao Moja tu......
Hapo kwenye NB ndipo makasiriko yako yote umeyatolea.Pole UtoHongereni kwa ushindi,ila hutasikia shabiki wa Yanga anazungumzia bahasha ila mngekuwa nyinyi sasa mngeongea mpaka njaa ziwaume.
NB.Hata mshinde 10 mtaendelea kupambana na Azam nafasi ya 2
Mbegu ni moja tu ya Points tatu,angalia msimamo kama magoli mengi yamekupa points 5Jipeni moyo ilo moja ni probability kama lina ubora
Mkiangalia msimamo mnatoka chozi, leta hapa kama wewe ni jasiriFuta kwanza chozi halafu urudie kuangalia Prisons walivyoteseka.Ntakutumia msimamo.πππ