Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapo ndiyo dawa imekuingia 😀Hapo kwenye NB ndipo makasiriko yako yote umeyatolea.Pole Uto
Guvu moya 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndiyo dawa imekuingia 😀Hapo kwenye NB ndipo makasiriko yako yote umeyatolea.Pole Uto
Ila yanaumizaaa yani unachukua ubingwa halafu unazidiwa magoli na timu ya chini yako bado hako ka ubingwa kanakua kana kera kera kidogo yess japo ni ubingwa....ni kama ka ubingwa ka kubahatisha...heloo mtani Chukwu emekaMbegu ni moja tu ya Points tatu,angalia msimamo kama magoli mengi yamekupa points 5
kiamaAiseee
Wapuuzi wanaongezeka NBC PLUpumbavu wa kiwango cha Makame Kitanta
Kumbe ulitaka tulie wewe vipi? Una chuki sana na Simba hadi inakutoa ufahamu.Na bado wanashangilia eti! [emoji2][emoji2]Yaani wamesahau tabu zao zote wanazopitia.
Wanaenda kuchekea toilet......atakayeuleta unitag mkuuMkiangalia msimamo mnatoka chozi, leta hapa kama wewe ni jasiri
Naombea kesho mtibwa ashinde ili point zibaki 3 pale.Hii ilikuwa wiki ya sheria kila mwana Yanga alikuwa na taaluma ya kujua Feisal kakiuka sheria
Zikibaki points 3 kila mmoja atageuka mwanadiplomasia kushauri baadhi ya mambo kutuliza pressure
Tukiwafunga kwenye Derby wote mtageuka ma expert wenye vision ya mpira na kusema mmefungwa kwasababu uongozi wa Yanga ulifanya makosa kumuacha Feisal
Tukiwazidi points wote mtageuka kuwa protestors kwenda kwa mama kulalamikia TFF na waamuzi
Atakaye leta unitag please 🙏Leteni msimamo jamani sisi Simba hatuna makasiriko raha yetu ni kuwachabanga vitimu vinavyopita mbele yetu mabao ya kutosha
Hii hapa usiugue:Nijibu kwanza mpo nafas ya ngapi baada ya ushindi wa leo?
Kuna ule uzi uliokuwa unazungumzia video chafu ya mashabiki wa Yanga iliyo leak, sikutaka kabisa kujihusisha hata na ule mjadala kwasababu nafahamu inavyoboa kuhusishwa kwenye matukio machafu ambayo tena hujahusikaWanafosi maupinde yao yaliyojaa kwny timu yao iwe ndo Simba...mauchafu chafu yao wanataka kuyahamishia kwa wekundu hahaha maupinde ni wao wanajulikana
Halafu aliye waahidi ni Jiesiemu mdogo...Aibu sana umeahidiwa 30M alafu unapigwa Saba (7), safi sana Simba Sasa wakagawane hayo magoli.
Usiwe na akili kama za kuku UtoMkiangalia msimamo mnatoka chozi, leta hapa kama wewe ni jasiri
Kaweka wapi?Lupweko kakuwekea mbona sisi hatuna preshaa
Hamna kolo yeyote aliyeuleta msimamo mpaka sasa nilijua ushindi wa leo utawapa point 7Wanaenda kuchekea toilet......atakayeuleta unitag mkuu
Mchaw ww
Hongera mkuu huwa una staha sana hupendi majibizano ya matusi...kwa mtu anaekujua najua hawezi kucoment kwny post yako kwa matusi ilihali unafahamika kwa hilo...hao ndo utopolooKuna ule uzi uliokuwa unazungumzia video chafu ya mashabiki wa Yanga iliyo leak, sikutaka kabisa kujihusisha hata na ule mjadala kwasababu nafahamu inavyoboa kuhusishwa kwenye matukio machafu ambayo tena hujahusika