FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Nakuambieni sio tu ndoo, hata kiatu kinaenda msimbazi yule Rasta mfanyieni mpango mumtafutie ng'ombe yake
🤣🤣 Bahati mbaya straiker wenu mzalendo amehamia Fc Lupopo.....ila Tz huwa inapitia vipindi vingi sana vya kuchekesha
 
Saido hakuna mshabiki wa Yanga aliyefurahishwa kuondoka,ni yy na bifu na Kocha.....sijamzungumzia Saido kwasababu daraja lake linajulikana.........siyo rahisi mtu kutoka East Africa kucheza Ligue one.......Saido anakitu na atawasaidia sana tu.

NB.Ila huwa nachukizwa mnapomsema Bocco vibaya na leo mnashangilia
Honestly sioni chembe ya conflicts yeyote kati ya Nabi na Saido nahisi ni ule ujanja ujanja wa nje ya uwanja ndio ilisababisha Saido kuachwa
 
🤣🤣 Bahati mbaya straiker wenu mzalendo amehamia Fc Lupopo.....ila Tz huwa inapitia vipindi vingi sana vya kuchekesha
Na kipindi tulicho nacho saizi kinacho trend ni kile cha wale wazee wa Yanga kutangaza mgomo kwenye bidhaa za Azam

Ukimsusa Azam itabidi umfate MO na MO ni muwekezaji wa Simba so mtakuwa mnatu support indirect

Afu sijajua ishu ya Mapinduzi Cup mtapanda mashua au mtaogelea hadi zenji?
 
Sijawahi kukuelewa Simba mwenzangu wewe
Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki Ndaki Ila Mgunda Hata Tushinde Mechi zote sio Kocha wa Viwango ya Simba, Timu ni Kubwa kuliko uwezo wake.

Leo Mchezo una jidhihirisha. Hawa Prisons ni Kama Hawako Pungufu yaani Gape la Mtu aliyetolewa kwa Card nyekundu halionekani, na Mgunda Amebaki na Mbinu zile Zile….

Makundi Tutatoboa Kweli? Mo alikuwa sahihi kutuuliza Kama Tunataka Kocha
 
Na kipindi tulicho nacho saizi kinacho trend ni kile cha wale wazee wa Yanga kutangaza mgomo kwenye bidhaa za Azam

Ukimsusa Azam itabidi umfate MO na MO ni muwekezaji wa Simba so mtakuwa mnatu support indirect

Afu sijajua ishu ya Mapinduzi Cup mtapanda mashua au mtaogelea hadi zenji?
Pale Ferry kuna Zanzibar One,siyo Azam marine tu mkuu
 
Sisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..

We puru, si kiipindi kile kwenye ule ujinga wenu wa unbeaten hamkutaka kabisa kuingiza habari za CAF (mkikumbuka RIVERS) makawa madai nyinyi mnaangalia league, leo hii CAF imekuja vipi😂😂?

Kwahiyo nijibu vizuri , hat-trick mnao ngapi huko, maana kuna kipindi mlitamba sana hapa
 
Pale Ferry kuna Zanzibar One,siyo Azam marine tu mkuu
Ile ipo gereji wiki ya pili hii kwani hauna taarifa?

Sema kuna mitumbwi kadhaa nimeiona pale iko bomba sana ila haina mwiko wakupigia kasia, so itawabidi mkauchukue ule mwiko wa kwenye slogan yenu muutumie kama kasia

Hapo mtatisha
 
Back
Top Bottom