Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Zalan hawakushiriki CAFSisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..
Zile ni mechi za ufunguzi kwa ajili ya kuyakaribisha mashindano ya CAF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zalan hawakushiriki CAFSisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..
Muda utaongeaNakuhakikishia hakuna mtaambulia kati ulivyovitaja
Sijawahi msema mzee lete ushahidi hapa..labda nilisema kuna kipindi alikua anawahi kuchoka...ofcourse kweli wana Simba ndo walikua wanaongoza kwa kumsemaHuwa mnasema wenyewe kila anapokosa Magoli, mojawapo ukiwa wewe
Sidhani kwa miaka hii ya 2000 kama kuna timu iliwahi kupata hattrick mbili kwenye ligi zaidi ya SIMBAMe nauliza tu, huko Yanga kuna hattrick ngapi?
Maana ilikuwa ni tambo yenu wakati fulani..!
Sasa hivi kocha kamkataa feisal mbona Bado mnamng'ang'aniaKocha ndiye aliyemkataa
Mimi piaKwangu mimi hii ni mechi moja nzuri ambayo nimeshuhudia Simba wakicheza kwa Quality ya juu kuliko mechi nyingine zote tangu msimu umeanza
Sisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..
Ile na Zalan nayo CAF?!
Zalan hawakushiriki CAF
Zile ni mechi za ufunguzi kwa ajili ya kuyakaribisha mashindano ya CAF
We puru, si kiipindi kile kwenye ule ujinga wenu wa unbeaten hamkutaka kabisa kuingiza habari za CAF (mkikumbuka RIVERS) makawa madai nyinyi mnaangalia league, leo hii CAF imekuja vipi[emoji23][emoji23]?
Kwahiyo nijibu vizuri , hat-trick mnao ngapi huko, maana kuna kipindi mlitamba sana hapa
Ameongeza nguvu kwenye eneo la ushambulizi... Pale mbele Chama, Saido, Sakho tusubir General arudi tuoneNgoja nimuone Saido leo
Kuna siku Utopolo wataingia kwenye mfumo watakula 7, siku sio nyingi.1
2
3
4
5
6
7
Aisssseee