FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Walitaka afunge hattrick wakati yupi kwao

Kwa mshahara gani haswa aliokuwa anapewa?

Mchezaji analipwa hela ndogo halafu katika hela ndo hiyo hiyo bado wanamkopa tena

We unategemea nini?

Wachezaji mpaka imewabidi kucheza michezo ya vikoba ili ku maintain hali ya kiuchumi
 
We puru, si kiipindi kile kwenye ule ujinga wenu wa unbeaten hamkutaka kabisa kuingiza habari za CAF (mkikumbuka RIVERS) makawa madai nyinyi mnaangalia league, leo hii CAF imekuja vipi[emoji23][emoji23]?

Kwahiyo nijibu vizuri , hat-trick mnao ngapi huko, maana kuna kipindi mlitamba sana hapa

Sio Kuna Kipindi Tulitamba Sana Mpk Sasa Bado Tunatamba Na Tutaendelea Kutamba Kwa Miaka Mingi Ijayo, Anyway Kwani Hizo Hat trick Zimewapa Points Ngapi Mpk Sasa? [emoji28]
 
Huyu GSM Bora asiwe anawatangazia dau hao wapinzani wa simba
 
Back
Top Bottom