Matokeo ni 2-3 Simba lazima abong'oleshwe
Then, huu utabiri umebaki hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ni 2-3 Simba lazima abong'oleshwe
Hakuna kufungana point msimu huu labda na azam katika kugombania nafasi ya pili
utopolo tulishawahi kuwabonda tukiwa pungufuuu kichuyaaaaaaaa, jonas mkude akila umemeYaani mwamuzi akitoa kadi nyekundu kwa mchezaji wa timu pinzani ndiyo mnapata ahueni!
Huyo tutusa hana kumbukumbuutopolo tulishawahi kuwabonda tukiwa pungufuuu kichuyaaaaaaaa, jonas mkude akila umeme
[emoji23][emoji23]nilijiuliza sana hili swali janaHivi jana nani aliondoka na mpira?
Na sijui kama kuna aliefuatilia kujua[emoji23][emoji23]nilijiuliza sana hili swali jana
Kwani mipira huwa ipo mingapi ? Hata wakipatikana watu ishirini mipira itapatikana tu..., anyway hii kitu ni symbolically kilichofanyika kina maana kuliko unachopewa...Hivi jana nani aliondoka na mpira?
Bocco 3 na Saido 3 wote walipewa mipiraHivi jana nani aliondoka na mpira?
Kumbe?! Basi sawa maana niliona Ntiba akipewa nkawa najiuliza vp Bocco alitoka hewa??B
Bocco 3 na Saido 3 wote walipewa mipira
Wakati wachezaji wanatoka uwanjani hujumuona Bocco kwasababu alifanyiwa SUB akaingia Kyombo, ndo maana ukamuona Ntibazonkiza peke yake, lakini wote walipewa ndivyo Kanuni.Kumbe?! Basi sawa maana niliona Ntiba akipewa nkawa najiuliza vp Bocco alitoka hewa??
Na kwa moto huu tuliouwasha TFF tutawatia hasara sana ya mipira.B
Bocco 3 na Saido 3 wote walipewa mipira
Marefa walitaka kumpa Bocco..Mgunda akawaambia wampe Tiba kama zawadi ya kumkaribisha maana mpira mkononi kwa Refa ulikuwa mmoja tu.Hivi jana nani aliondoka na mpira?
Wako wapi avic town, salamanda au jangwani?Kawaulize maana mnafanana akili thread nzima unaongea upumbavu tu unatofauti gani na hao ? huwezi jadili mpira umeng'ang'nia vitu vya kijinga mbona wenzako ni wastarabu au kuongea pumba ndio unaonekana mjanja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Benjamin Asukile anafuta machozi akiwa benchi
Inaonekana huyu alikopa hela sehemu akitegemea atairudisha kwenye ile 30M waliyoahidiwa
Takbiriiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saido moja kwa moja peponi ukaoe bikra 14
Una maanisha hivi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tuliza huo mwiko huko nyuma
Nimekusoma mkuuWakati wachezaji wanatoka uwanjani hujumuona Bocco kwasababu alifanyiwa SUB akaingia Kyombo, ndo maana ukamuona Ntibazonkiza peke yake, lakini wote walipewa ndivyo Kanuni.
Tunaelekea kukirejesha kombe letuMbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 30,2022 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF Wekundu wa Msimbazi Simba SC[emoji881] wanawakabili Wajelajela Tanzania Prisons🟢 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam[emoji2522]
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 12: 15 Jioni[emoji354]..Usibonyeze Kitufe.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.
=========
00' Mpira umeanza Uwanja wa Benjamin Mkapa, dakika 90 za Jasho na Damu.
Timu zimeanza Kwa mashambulizi ya kasi huku kila timu ikijaribu kutafuta bao la mapema.
12' [emoji460] Goooooooooooooaaal gooal
John Bocco anaweka kambani bao la kwanza akipokea Krosi murua kutoka kwa Ntibanzokiza, Simba SC 1-0 Tanzania Prisons.
Samson Mbangula anaonyeshwa Kadi Nyekundu baada ya kuchelewa faulo Henock..Ametolewa nje Henock na ameingia Kennedy
29' [emoji460] Goooooooooooooaaal gooal
Jeremiah Juma anasawazisha bao kwa Tanzania Prisons, Simba SC 1-1 Tanzania Prisons.
45+3' Kuelekea kuwa mapumziko, timu zikiwa zimefungana bao moja kwa moja
Naaam mpira ni mapumziko.
HT: Simba SC 1-1 Tanzania Prisons
46' [emoji460] Goooooooooooooaaal gooal
John Bocco anaweka kambani bao la pili akipokea pasi murua kutoka kwa SAKHO
55' Kanoute anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa mchezo mbaya.
58' Sakho anawasha moto ile mbaya, anapangua mabeki, na kumpasia Ntibanzokiza naye anashindwa kufunga bao ilikuwa nafasi nzuri.
60' [emoji460]Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal, anaweka kambani bao la Tatu akipokea pasi murua kutoka kwa Chama.
Umiliki wa Simba SC, Wajelajela wameshikwa ile mbaya.
62' [emoji460] Bocco Goooooooooooooaaal
John Bocco anaweka kambani bao la nne, kazi nzuri ya Chama.
63' [emoji460] Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal, anaweka kambani bao Tano.
70' [emoji460]Ntibazonkiza Goooooooooooooaaal gooal, anaweka kambani bao la SITA, akipokea pasi ya Mzamiru.
Tanzania Prisons Uwanja umeinama upande wao, Simba wanakuja kama mvua.
87' [emoji460]Kapombe Goooooooooooooaaal gooal, Shomari Kapombe anahesabu bao la Saba, akipokea Krosi ya Gadiel.
Kuelekea kumalizika kwa mchezo ambapo Simba SC wapo mbele ya mabao Saba kwa moja.
90+3' Naaaaaam mpira umekwishaaaaaa ambapo Simba SC [emoji881] wameibuka na ushindi mnono wa mabao Saba kwa moja dhidi ya Timu ngumu ya Tanzania Prisons🟢
FT: Simba SC 7-1 Tanzania Prisons
..... Ghazwat[emoji2424]....