FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Hata washinde goli 100! Wasahau kuongoza ligi, au kuchukua ubingwa kwa miaka 10 mfululizo.

Huu ni mwaka wa 2 tu. Bado miaka mingine 8 ya maumivu. Watabadilisha makocha wote, lakini haitasaidia kitu. Wataambulia tu furaha ya muda mfupi.

Mkuu umefunga mwaka kwa uchungu dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole ndo dunia ilivyo
 
Kwani wale ndugu zako waliwezaje kujirekodi wakicheza uchi huku wamevaa jezi zenu pendwa wakilambana vinyeo?
Kawaulize maana mnafanana akili thread nzima unaongea upumbavu tu unatofauti gani na hao ? huwezi jadili mpira umeng'ang'nia vitu vya kijinga mbona wenzako ni wastarabu au kuongea pumba ndio unaonekana mjanja?
 
Back
Top Bottom