FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Nakuambieni sio tu ndoo, hata kiatu kinaenda msimbazi yule Rasta mfanyieni mpango mumtafutie ng'ombe yake
🤣🤣 Bahati mbaya straiker wenu mzalendo amehamia Fc Lupopo.....ila Tz huwa inapitia vipindi vingi sana vya kuchekesha
 
Honestly sioni chembe ya conflicts yeyote kati ya Nabi na Saido nahisi ni ule ujanja ujanja wa nje ya uwanja ndio ilisababisha Saido kuachwa
 
🤣🤣 Bahati mbaya straiker wenu mzalendo amehamia Fc Lupopo.....ila Tz huwa inapitia vipindi vingi sana vya kuchekesha
Na kipindi tulicho nacho saizi kinacho trend ni kile cha wale wazee wa Yanga kutangaza mgomo kwenye bidhaa za Azam

Ukimsusa Azam itabidi umfate MO na MO ni muwekezaji wa Simba so mtakuwa mnatu support indirect

Afu sijajua ishu ya Mapinduzi Cup mtapanda mashua au mtaogelea hadi zenji?
 
Sijawahi kukuelewa Simba mwenzangu wewe
 
Pale Ferry kuna Zanzibar One,siyo Azam marine tu mkuu
 
Sisi Hat-Trick Tunazo Mpk Za CAF Wewe Bwege, Na Kesho Mwamba Atawapigia Tena Simu..

We puru, si kiipindi kile kwenye ule ujinga wenu wa unbeaten hamkutaka kabisa kuingiza habari za CAF (mkikumbuka RIVERS) makawa madai nyinyi mnaangalia league, leo hii CAF imekuja vipi😂😂?

Kwahiyo nijibu vizuri , hat-trick mnao ngapi huko, maana kuna kipindi mlitamba sana hapa
 
Pale Ferry kuna Zanzibar One,siyo Azam marine tu mkuu
Ile ipo gereji wiki ya pili hii kwani hauna taarifa?

Sema kuna mitumbwi kadhaa nimeiona pale iko bomba sana ila haina mwiko wakupigia kasia, so itawabidi mkauchukue ule mwiko wa kwenye slogan yenu muutumie kama kasia

Hapo mtatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…