FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Hivi jana nani aliondoka na mpira?
Marefa walitaka kumpa Bocco..Mgunda akawaambia wampe Tiba kama zawadi ya kumkaribisha maana mpira mkononi kwa Refa ulikuwa mmoja tu.
 
Kawaulize maana mnafanana akili thread nzima unaongea upumbavu tu unatofauti gani na hao ? huwezi jadili mpira umeng'ang'nia vitu vya kijinga mbona wenzako ni wastarabu au kuongea pumba ndio unaonekana mjanja?
Wako wapi avic town, salamanda au jangwani?
 
Tunaelekea kukirejesha kombe letu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…