FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

Huu Uzi ndio nauona saa hizi..ila poa..naanza ukurasa wa kwanza..hivi ule utaratibu wa kututag sisi wadau wako uliacha@Ghazwat
Ule utaratibu ni kwenye michuano ya Kimataifa ya CAF, na kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Azam FC.

BRN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…