FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 7-1 Tanzania Prisons | Uwanja wa Benjamin Mkapa 30/12/2022

41' Ntibazonkiza anapiga shutii hafifu na linadakwa na golikipa
 
Ntibazonkiza anapiga shutii lakini golikipa anapangusa na kuwa Kona ambayo haikuzaa bao
 
Simba level yenu kina Al Ahly Wydad Zamalek
Hilo halina ubishi kwa hiyo mkae kwa kutulia. Mpambanieni mchezaji wenu aliyewakimbia katikati ya msimu.

Mechi ya mwisho ya kimataifa tulienda kwa ndege ya kukodi, tuko uwanjani ndege inatusubiri. Nyie mlikaa wiki nzima kuweza kurudi Dar maana ilibidi mlale Nzega na Manyoni.
 
45+3' Kuelekea kuwa mapumziko ambapo Simba 1-1 Tanzania Prisons
 
Prisons ni kama Morrocco tu

Wanakikosi cha kulinda tu
 
Chamaaa looooo, anakosa nafasi nzuri ya kufunga
 
Golikipa wa prison dirisha hili anabaki pale pale kweli. Azam hamuoni au ni vipofu
 
Back
Top Bottom