CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Amekatwa au sio??Sakho anakatwa eneo ndani ya box, Refa anakataa anasema cheza mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekatwa au sio??Sakho anakatwa eneo ndani ya box, Refa anakataa anasema cheza mpira
Kila mtu ashinde mechi zakeYanga wanavyotuangalia wakiwa mafichoni [emoji4][emoji4]
Nguvu moja
Na,Sauti yenye Mamlaka ndani yake
Kande mixer na wali mweupe.Mpira vipi? Ni biriani au kande? Hatupo kwa kideo
Mkuu kuna timu ngapi kwenye ligi zinatumia costa? Mbona watu mnajitoa ufahamu sana kwa cheap kejeli zisizo na kichwa wala mguu?Simba wameingia na kosta au disiem?
Simba level yenu kina Al Ahly Wydad ZamalekMkuu kuna timu ngapi kwenye ligi zinatumia costa? Mbona watu mnajitoa ufahamu sana kwa cheap kejeli zisizo na kichwa wala mguu?
Simba hawana shoo mbovu za wali mweupe bora kande lina maharageKande mixer na wali mweupe.
Yatima hadeki. Kama unaelewaLeo Mchezo una jidhihirisha. Hawa Prisons ni Kama Hawako Pungufu yaani Gape la Mtu aliyetolewa kwa Card nyekundu halionekani, na Mgunda Amebaki na Mbinu zile Zile….
Hivi swala la kocha ni la kuomba maoni ya mashabiki Twitter kweli?Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki Ndaki Ila Mgunda Hata Tushinde Mechi zote sio Kocha wa Viwango ya Simba, Timu ni Kubwa kuliko uwezo wake.
Leo Mchezo una jidhihirisha. Hawa Prisons ni Kama Hawako Pungufu yaani Gape la Mtu aliyetolewa kwa Card nyekundu halionekani, na Mgunda Amebaki na Mbinu zile Zile….
Makundi Tutatoboa Kweli? Mo alikuwa sahihi kutuuliza Kama Tunataka Kocha
Unatazama mpira?Mimi ni shabiki wa Simba Kindaki Ndaki Ila Mgunda Hata Tushinde Mechi zote sio Kocha wa Viwango ya Simba, Timu ni Kubwa kuliko uwezo wake.