Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamsa hamsa hamsaa.. Tupe raha mnyamaaMbiringe au Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara[emoji1241] kuendelea kugombewa leo Disemba 30,2022 ambapo Wataalamu wa kusakata kabumbu lenye viwango vya CAF Wekundu wa Msimbazi Simba SC[emoji881] wanawakabili Wajelajela Tanzania Prisons🟢 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam[emoji2522]
Kumbuka mchezo ni kuanzia saa 12: 15 Jioni..Usibonyeze Kitufe.
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana.
Prisons wameahidiwa hela Ili kuwafanyia Rafi wachezaji wa Simba. Safi refaRed card
Wapigwe tu umeme hamna namnaRed card
Alafu Onyango apumzishwe tu mechi zijazo Inonga kajitoa mhanga kwa upuuzi wa OnyangoRed card inastahili.