[emoji28][emoji28][emoji119]Simba hawana shoo mbovu za wali mweupe bora kande lina maharage
Unatazama mpira?
Kwa hiyo huo msako ni nini, wanatafuta niniNiko Live Mkuu
Maji yamekorogeka 😆Chama vipi pale daah
Hilo halina ubishi kwa hiyo mkae kwa kutulia. Mpambanieni mchezaji wenu aliyewakimbia katikati ya msimu.Simba level yenu kina Al Ahly Wydad Zamalek
Kwani alikuwa analo?Amekatwa au sio??