Dakika ya ngapi mkuu?
Zilizobaki hazizidi 6Dakika ya ngapi mkuu?
Poa mkuu. Dah, natamani ngoma iishe bila bila tuwafukizie utopolo kwa karibu.Zilizobaki hazizidi 6
Wameshalala hawaPoa mkuu. Dah, natamani ngoma iishe bila bila tuwafukizie utopolo kwa karibu.
Kweli kabisa! Sijui anasubiri nini!!! 😩Refa maliza mpira nasinziaaaaaa
Usingiz wa namna gan huo?? Kufeni na Roho zenu mbaya hukooWameshalala hawa
Bahati yenyuKweli kabisa! Sijui anasubiri nini!!! [emoji30]
Mna bahatiUsingiz wa namna gan huo?? Kufeni na Roho zenu mbaya hukoo