Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
🚮Nikiwa kama shabiki wa Simba kusema ukweli nateseka sana na haya matokeo ya Yanga. Mechi imeuzwa hii TFF mko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🚮Nikiwa kama shabiki wa Simba kusema ukweli nateseka sana na haya matokeo ya Yanga. Mechi imeuzwa hii TFF mko wapi?
"Mjinga wewe [emoji848][emoji848][emoji848]" Copied and pasted [emoji38]Mjinga wewe. [emoji848][emoji848][emoji848]
Sawa"Mjinga wewe [emoji848][emoji848][emoji848]" Copied and pasted [emoji38]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mmezidi malalamiko.... Kwahiyo tusingeshinda ungetoa neno gani labdaUpangaji wa matokeo kwenye mechi za Yanga umekithiri ngoja tu ni suala la muda tu
Ila simba ikishinda kwa magoli 3 kwa 0 pale Mkwakwani, hakuna upangaji wa matokeo! Isipokuwa Yanga tu ikishinda!!!Upangaji wa matokeo kwenye mechi za Yanga umekithiri ngoja tu ni suala la muda tu
Vilio na mayowe FCUpangaji wa matokeo kwenye mechi za Yanga umekithiri ngoja tu ni suala la muda tu
Kisinda arudi kwao Kongo tu,au tumpeleke Kwa Makolo Kwa mkopoWachezaji Wa Kuwatoa kwa mkopo Wapo wengi humu.
Kisinda Hamna Kitu mule.....Bureee kbs.
Ndugu ya nyokooo! Kolo mkubwa weweSisi ni ndugu[emoji1752][emoji818][emoji2]
Haya mechi imeisha tuangalie sasa kolo weweMorrison anaingia wakati Clement akitoka
Mashabiki wa uto wamepiga yowe ngoja mechi iishe tutawaona
Ndiyomaana mi huwa nawaita Makolokolo/Mbumbumbu/Malalamiko/Makelele/Kolowizards/Ngada FC sababu wana nasaba zote za hayo majina [emoji1]Ila simba ikishinda kwa magoli 3 kwa 0 pale Mkwakwani, hakuna upangaji wa matokeo! Isipokuwa Yanga tu ikishinda!!!
Achana kuzoza na watu walorukwa na akili mkuu.Ila simba ikishinda kwa magoli 3 kwa 0 pale Mkwakwani, hakuna upangaji wa matokeo! Isipokuwa Yanga tu ikishinda!!!
Yanga wanavyowafunga na nyie inakuwa ni kupanga matokeo ?Upangaji wa matokeo kwenye mechi za Yanga umekithiri ngoja tu ni suala la muda tu
Na watu tunaowapa bahasha zaidi ni Simba ndiyo maana tunajipigia tuHii Yanga bila bahasha na uchawi ni wepesi kama karatasi
Mpuuzi sana,Farid ilitakiwa aanzeAmbundo pochi la wazi kabisa ,halafu kesho akikaa benchi anaanza kulalamika.
Sawa Kolo.Uto mje sasa uzini
Ata mimi nimeshangaa sana huyu bwege kaze sijui anawazaga nnBigirimana yupo haaa Kaze Kazingua.
How, when why?Another two points dropped