Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🗑🤾♀️
Rage alivyowaita mbumbumbu hakukosea wallahi.Refa yuko kwenye payroll ya yanga unategemea nin?
Ulishalala?Refa maliza mpira nasinziaaaaaa
Na ile kitu ya Muharami inawavuruga sana mkuuRage alivyowaita mbumbumbu hakukosea wallahi.
Pole sana kolo. Haijawezekana.Poa mkuu. Dah, natamani ngoma iishe bila bila tuwafukizie utopolo kwa karibu.
Mkuu huyu ni Teja,kulala kwake ni baada ya kula ngadaUlishalala?
Mungu kawasahau?Usijali ndugu acha wahangaike mpaka iwe watakavyo ila Mungu ni mwema yuko upande wetu sisi Tanzania Prison
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga kama hawa bado wapo wengi sana,Rage aheshimiwe Kwa kuwaambia ukweliUpangaji wa matokeo kwenye mechi za Yanga umekithiri ngoja tu ni suala la muda tu
Ngada ipigwe vita kwa kweliMkuu huyu ni Teja,kulala kwake ni baada ya kula ngada
Kitendo cha kumwazisha Ambundo na wakati Farid na Morrison wapo ni ukosefu wa akili.Mpuuzi sana,Farid ilitakiwa aanze
Makolo imewaharibu sanaNgada ipigwe vita kwa kweli
Wamedanganywa na watu wa ngadaMkitaka ligi bora muache ahadi za kijinga,Prisons hawajashinda mechi kadhaa,ila mnataka waje washinde leo...... mamaeeee
Kaka nishalala tafadhali niache sitaki usumbufu huu ni usiku alafu ni wikendi wacha nipumzike.Mungu kawasahau?
First half Ambundo kazingua sanaKitendo cha kumwazisha Ambundo na wakati Farid na Morrison wapo ni ukosefu wa akili.
Sasa Timu haijashinda zaidi ya mechi 5 ila wanataka iifunge Yanga.....hizo game walizopoteza inamaana hazikuwa na umuhimu? Tz Kuna ujinga mwingi sanaWamedanganywa na watu wa ngada
Hawa ngada ni kama wanawake wa buza wanaumia kwa yasiyowahusu.Kufungwa wamefungwa Prisons kuumia wanaumia Makolo a.k.a ngada fc
Na ujinga unaletwa na hawa wala ngada.Sasa Timu haijashinda zaidi ya mechi 5 ila wanataka iifunge Yanga.....hizo game walizopoteza inamaana hazikuwa na umuhimu? Tz Kuna ujinga mwingi sana