Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Makolo wanasonya tu kimya kimyaMikia waliweka kambi hapa, wakijua tunapoteza hii mechi.
Tumeshinda wamepoteana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yanga itabaki kuwa Yanga daima. 💚💛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo wanasonya tu kimya kimyaMikia waliweka kambi hapa, wakijua tunapoteza hii mechi.
Tumeshinda wamepoteana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yanga itabaki kuwa Yanga daima. 💚💛
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we sio wa kulala saa izi boss njoo tujadiliane mambo ya msingiKaka nishalala tafadhali niache sitaki usumbufu huu ni usiku alafu ni wikendi wacha nipumzike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kameze pain killer ulale. Wanga wakubwa.Utopolo aka kubahatishabahatisha FC
We mla ngada umetumia kiasi gani cha cocaine leo mbona kama umechanganyikiwa?Utopolo aka kubahatishabahatisha FC
Ulikuwa wapi muda wote. Unavizia kama unaaga mwiliUlishalala?
Safi,watu wenye akili timamu utawakuta Yanga pekee huko kwingine ni kwa mateja.Proud to be a Yanga fan
[emoji3]Hawa ngada ni kama wanawake wa buza wanaumia kwa yasiyowahusu.
Sasa kaka wiki zima tuko tunajadili mambo ya msingi sasa na jumapili kweli tena usiku tafadhali naomba kupumzika nimechoka na huduma za kijamii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we sio wa kulala saa izi boss njoo tujadiliane mambo ya msingi
We kilichokuwahisha kwenye uzi nini?mechi hii ilikua inakuhusu kivipi?mi ndo naingia home siunajua foleni ya hapa mjini.Ulikuwa wapi muda wote. Unavizia kama unaaga mwili
Yanga inapofanya Jambo ni vyema nchi nzima tuakawa kitu kimoja katika majadiliano.Sasa kaka wiki zima tuko tunajadili mambo ya msingi sasa na jumapili kweli tena usiku tafadhali naomba kupumzika nimechoka na huduma za kijamii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo ndio ilikua vmwisho wao kukaa hapo juu mpka mwisho wa msimuWenye nafasi yetu tumerudi, nyie wengine rudini kwenye machaka yenu mlikozoea kukaa...
Ni kweli kabisa ila naomba iwe kesho siku ya kazi leo tupumzike ndugu .Yanga inapofanya Jambo ni vyema nchi nzima tuakawa kitu kimoja katika majadiliano.
Huwa Manula mnampa bahasha nzito mno ndio maana akina Ki wanajifungia tuNa watu tunaowapa bahasha zaidi ni Simba ndiyo maana tunajipigia tu
kama hupati choo kula ndiziHii Yanga bila bahasha na uchawi ni wepesi kama karatasi