FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

12' Bocco Goooooooooooooaaal gooal

Captain fantastic John Bocco anaweka kambani bao la kwanza kwa kichwa, akipokea Krosi murua kutoka kwa Kapombe.

Geita Gold 0-1 Simba SC
 
Hii mechi bado ni ngumu kwa simba .kocha anatakiwa kumuamini akpan ndio mechi zake hizi za kutumia nguvu
 
Back
Top Bottom